Cardio Power Capsule
Viungo:
Radix Salviae Miltiorrhizae Extractum, Radix Notoginseng Extractum, Rhizoma Chuanxiong Extractum, Radix Ginseng Extractum, Flos Cathami Extractum, Borneolum, Polyethylene glycol.
Kazi na Faida zake:
- Kupunguza lipid katika damu, mnato wa damu, kujikusanya kwa platelet, kupunguza uwezekano wa kupata tatizo la kuongezeka kwa unene wa mishipa ya damu;
- Kupanua arteri zinazogawa damu kwenye ubongo na moyo; kuongeza uwingi wa damu ndani ya mishipa ya moyo, kuongeza msukumo wa damu kwenye ubongo na moyo;
- Kuipanua arteri ya moyo, inaweza kutumika kuondoa tatizo la kukosekana damu ya kutosha kwenye misuli ya moyo (angina pectoris).
Inafaa Kutumika Kwa:
- Watu wenye presha, wenye lipids, wenye damu yenye mnato mkubwa
- Watu wenye mafuta ndani ya mishipa ya damu
- Watu wenye angina pectoris, myocardial ischemia, na/au wenye magonjwa mengine kwenye arteri ya moyo
- Watu walio kwenye uangalizi baada ya misuli yao ya moyo kuharibika kwa kukosa damu
Maelezo Muhimu:
Faida Kwenye Mishipa Ya Damu:
Radix Salviae Miltiorrhizae pia huitwa Red Sage Root, ambayo inaweza kupanua arteri za moyo, kuongeza uwingi wa damu iingiayo kwenye moyo, kuongeza uwingi wa damu itokayo kwenye moyo, kupunguza matumizi ya damu kwenye misuli ya moyo na kujikusanya kwa platelet za damu, kuzuia kutokea kwa vidonge vya damu iliyoganda vinavyoziba mishipa, kupunguza mnato wa damu na palsma na kupunguza cholesterol.
Inazuia kuharibika kwa misuli ya moyo, kuponya tatizo la kuongezeka unene wa mishipa ya moyo (coronary arteriosclerosis), kuzuia maumivu yatokanayo na upungufu wa oksijeni kwenye moyo (angina pectoris), upungufu wa damu kwenye mishipa ya moyo, uzidifu wa lipids katika damu, kizunguzungu na kukosa kumbukumbu kunakotokana na matatizo katika mzunguko wa damu wa ubongo.
Faida Kwa Moyo:
Radix Notoginseng Extractum inaweza kuongeza damu kwenye mishipa ya moyo kwa kupanua arteri za moyo, kuongeza kasi ya kutengeneza mtindo wa kusaidiana katika kutoa damu kwenye eneo lenye upungufu wa damu. Inaboresha msukumo wa oksijeni kwenye misuli ya moyo.
Inaongeza msukuomo wa oksijeni wakati huo huo ikipunguza matumizi ya oksijeni ya mishipa ya moyo kwa kupunguza ukinzani wa misuli inayouzunguka moyo na kasi ya mapigo ya moyo, na vile vile kudhibiti unyumbukaji wa misuli hiyo ya moyo.
Radix Notoginseng Extractum inaweza kuongeza kwa kiwango kizuri maisha ya misuli ya moyo iliyo kwenye mazingira ya kukosa oksijeni.
Antioxidant Yenye Nguvu:
Mchanganyiko uliobuniwa wa hali ya juu wa Red sage Root, Notoginseng, Rhizoma Chuanxiong, Ginseng, Flos Cathami, Borneolum unafanya kazi vizuri kuzuia lipid peroxide, kuondoa radikali huru kuchochea shughuli za SOD na kulinda viungo muhimu dhidi ya uharibifu wa oksijeni (oxidation damage).
.
<<<<< MWANZO